Ufafanuzi wa sambaratisha katika Kiswahili

sambaratisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tawanya vitu au watu wasiwe na mshikamano au umoja.

Matamshi

sambaratisha

/sambarati∫a/