Ufafanuzi wa sambika katika Kiswahili

sambika

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iza, ~wa

  • 1

    lazimisha mtu kufanya jambo fulani.

Matamshi

sambika

/sambika/