Ufafanuzi wa sambiza katika Kiswahili

sambiza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia maiti maji ya kumsuuza k.v. baada ya kumpaka sabuni.

Matamshi

sambiza

/sambiza/