Ufafanuzi wa sambusa katika Kiswahili

sambusa

nominoPlural sambusa

  • 1

    andazi la pembetatu lililotiwa nyama, vitunguu, pilipili na viungo vingine, ambalo hupikwa kwa kutoswa katika mafuta ya moto.

Asili

Kaj

Matamshi

sambusa

/sambusa/