Ufafanuzi wa samli katika Kiswahili

samli

nominoPlural samli

  • 1

    mafuta yanayotokana na maziwa ya wanyama k.v. ng’ombe, ngamia au mbuzi, yanayotumiwa kupikia.

    methali ‘Domokaya samli kwa mwenye ng’ombe’

Asili

Kar

Matamshi

samli

/samli/