Ufafanuzi msingi wa sana katika Kiswahili

: sana1sana2

sana1

kielezi

 • 1

  -liozidi kawaida.

  zaidi, mno, kamani

Ufafanuzi msingi wa sana katika Kiswahili

: sana1sana2

sana2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  tengeneza kitu kutokana na madini yaliyoyeyushwa.

  methali ‘Mtoto wa mhunzi asiposana huvukuta’
  fua

Matamshi

sana

/sana/