Ufafanuzi wa sanifisha katika Kiswahili

sanifisha

kitenzi elekezi

  • 1

    weka vigezo maalumu vya kusawazisha vitu ili vipate ulinganifu fulani wa pamoja.

Asili

Kar

Matamshi

sanifisha

/sanifiāˆ«a/