Ufafanuzi msingi wa sanifu katika Kiswahili

: sanifu1sanifu2

sanifu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  fanya jambo kwa kufuata taratibu au kanuni zinazokubalika.

 • 2

  fanya jambo kwa ufundi ili kuwavutia watu kwa uhodari, agh. kwenye maandishi au maongezi.

  tunga

 • 3

  chora ramani au umbo la kitu kinachotarajiwa kutengenezwa.

Asili

Kar

Matamshi

sanifu

/sanifu/

Ufafanuzi msingi wa sanifu katika Kiswahili

: sanifu1sanifu2

sanifu2

kivumishi

 • 1

  -a kupendeza.

 • 2

  -enye kufuata taratibu au kanuni zilizokubaliwa.

  ‘Lugha sanifu’

Asili

Kar

Matamshi

sanifu

/sanifu/