Ufafanuzi wa sanjari katika Kiswahili

sanjari, chanjari

nomino

  • 1

    mwandamano wa vitu au watu mmoja baada ya mwingine.

    ‘Meli ziliandamana sanjari’
    ‘Abiria wamesimama sanjari wakingojea basi’
    mpororo

Asili

Kaj