Ufafanuzi msingi wa sapa katika Kiswahili

: sapa1sapa2

sapa1

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua mali yote ya mtu au kitu chochote bila ya kumbakishia.

    kumba, filisi

Matamshi

sapa

/sapa/

Ufafanuzi msingi wa sapa katika Kiswahili

: sapa1sapa2

sapa2

nomino

  • 1

    kitu kikuukuu ambacho bado kinatumika k.v. nguo au kapu.

    ‘Niletee sapa yangu’

Matamshi

sapa

/sapa/