Ufafanuzi wa sarahangi katika Kiswahili

sarahangi

nomino

  • 1

    mtu wa pili baada ya nahodha anayesimamia mabaharia katika chombo.

Asili

Kaj / Khi

Matamshi

sarahangi

/sarahangi/