Ufafanuzi msingi wa sarufi katika Kiswahili

: sarufi1sarufi2

sarufi1

nominoPlural sarufi

  • 1

    kanuni za lugha zinazotumika ili kupata ufasaha wa usanifu katika lugha.

    nahau

Matamshi

sarufi

/sarufi/

Ufafanuzi msingi wa sarufi katika Kiswahili

: sarufi1sarufi2

sarufi2

nominoPlural sarufi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    taaluma ya isimu inayojishughulisha na kanuni za uchambuzi wa vipengele mbalimbali vya lugha k.v. fonetiki, fonolojia, mofolojia, semantiki au sintaksia.

Asili

Kar

Matamshi

sarufi

/sarufi/