Ufafanuzi wa sarufi maumbo katika Kiswahili

sarufi maumbo

  • 1

    tawi la isimu ambalo hujishughulisha na uchanganuzi wa kanuni na mifumo inayohusu upangaji wa mofimu mbalimbali kuunda maneno katika lugha.