Ufafanuzi wa saruni katika Kiswahili

saruni

nominoPlural saruni

  • 1

    nguo, agh. ya makunguru au ya rangirangi, inayovaliwa kwa kufungwa kiunoni na kuteremka mpaka chini.

Matamshi

saruni

/saruni/