Ufafanuzi wa satua katika Kiswahili

satua, satwa

nominoPlural satua

  • 1

    uwezo alionao mtu wa kutekeleza jambo.

    uwezo, nguvu, tani

Matamshi

satua

/satuwa/