Ufafanuzi msingi wa saumu katika Kiswahili

: saumu1saumu2

saumu1

nominoPlural saumu

  • 1

    hali ya kujizuia kwa hiari chakula na vingine ili kutimiza amri ya Mwenyezi Mungu.

    mfungo, funga

Asili

Kar

Matamshi

saumu

/sawumu/

Ufafanuzi msingi wa saumu katika Kiswahili

: saumu1saumu2

saumu2

nominoPlural saumu

  • 1

    kitunguu chenye maganda meupe na konde ndogondogo nyingi zilizoshikana pamoja.

Asili

Kar

Matamshi

saumu

/sawumu/