Ufafanuzi msingi wa sawa katika Kiswahili

: sawa1sawa2

sawa1

kivumishi

 • 1

  -enye hali ya kufanana au kulingana.

  ‘Mambo yote ni sawa’
  sahihi, mamoja

Matamshi

sawa

/sawa/

Ufafanuzi msingi wa sawa katika Kiswahili

: sawa1sawa2

sawa2

kielezi

 • 1

  kwa kufuata utaratibu.

  ‘Kazi imefanywa sawa’
  vizuri

Matamshi

sawa

/sawa/