Ufafanuzi msingi wa sawidi katika Kiswahili

: sawidi1sawidi2

sawidi1

kitenzi elekezi

  • 1

    andika kwa mara ya kwanza k.v. waraka au makala kabla ya kufanya marekebisho ya mwisho.

Matamshi

sawidi

/sawidi/

Ufafanuzi msingi wa sawidi katika Kiswahili

: sawidi1sawidi2

sawidi2

kitenzi elekezi

  • 1

    vunjia mtu heshima.

Matamshi

sawidi

/sawidi/