Ufafanuzi wa sawijika katika Kiswahili

sawijika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    badilika hali na kuwa mbaya kutokana na k.v. shida, njaa au ugonjwa.

Asili

Kar

Matamshi

sawijika

/sawiʄika/