Ufafanuzi wa sawiri katika Kiswahili

sawiri

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya sura ya kitu kwa kutumia kalamu au mashine za kutolea picha.

Asili

Kar

Matamshi

sawiri

/sawiri/