Ufafanuzi wa sayansi katika Kiswahili

sayansi

nominoPlural sayansi

  • 1

    elimu inayotokana na uchunguzi, majaribio, vipimo na kuthibitishwa kwa muda uliopo.

Asili

Kng

Matamshi

sayansi

/sajansi/