Ufafanuzi wa sayari katika Kiswahili

sayari

nominoPlural sayari

  • 1

    mojawapo ya madude makubwa yaliyoko angani na yanayozunguka jua.

  • 2

    kitu chochote kinachoelea angani katika falaki.

Asili

Kar

Matamshi

sayari

/sajari/