Ufafanuzi wa saza katika Kiswahili

saza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    acha sehemu ya kile unachotumia au unachochukua.

    bakiza, weka

Matamshi

saza

/saza/