Ufafanuzi wa sazo katika Kiswahili

sazo

nomino

  • 1

    kitu kilichobaki baada ya kutumika.

    salio, ifu, kisaa

Matamshi

sazo

/sazÉ”/