Ufafanuzi wa sedeka katika Kiswahili

sedeka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    endelea kuwa katika hali ya ugonjwa kwa siku nyingi.

Asili

Kar

Matamshi

sedeka

/sɛdɛka/