Ufafanuzi wa seezi katika Kiswahili

seezi, serezi

nominoPlural seezi

  • 1

    mkato au mstari kwenye tumbo la kidole cha mtu.

  • 2

    ruwaza ya mistari au alama ya vidole inayofanywa, kuachwa au kuhifadhika mahali, inayotumiwa hasa na wapelelezi kumtambua mhalifu.

Matamshi

seezi

/sɛ: ɛzi/