Ufafanuzi wa sehemu katika Kiswahili

sehemu

 • 1

  ya sarufi iliyo na taarifa zote za maneno.

Ufafanuzi wa sehemu katika Kiswahili

sehemu

nominoPlural sehemu

 • 1

  kiasi fulani cha kitu au kundi la watu.

  ‘Sehemu kubwa ya vitabu’
  ‘Hii ni sehemu tu ya kazi unayotarajiwa kuifanya’
  akisami, gawo

 • 2

  upande wa mahali k.v. nchi au mji.

  ‘Anakaa sehemu ya Mashariki ya mji huu’
  upande, faraka, fungu