Ufafanuzi wa sekenene katika Kiswahili

sekenene

nominoPlural sekenene

  • 1

    kipele kinachokuwako kwenye ngozi ya juu ya jicho.

    chekea

Matamshi

sekenene

/sɛkɛnɛnɛ/