Ufafanuzi wa sekini katika Kiswahili

sekini

nominoPlural sekini

  • 1

    unyoaji wa nywele kwa kuacha nywele nyingi katikati na kuzipunguza sana za chini.

Asili

Kar

Matamshi

sekini

/sɛkini/