Ufafanuzi wa selo katika Kiswahili

selo, sero

nomino

  • 1

    mlio wa kujulisha kuwa meli au garimoshi limefika au linaondoka.

    king’ora, gunda, paipu

  • 2

    ishara k.v. ya bendera, inayoonesha uingiaji au utokaji wa meli au treni.