Ufafanuzi wa semansi katika Kiswahili

semansi

nomino

  • 1

    agizo linalomtaka mtu aende mahakamani wakati fulani.

Asili

Kng

Matamshi

semansi

/sɛmansi/