Ufafanuzi wa semantiki katika Kiswahili

semantiki

nominoPlural semantiki

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    tawi la isimu ambalo hujishughulisha na uchambuzi wa lugha katika kiwango cha maana.

Asili

Kng

Matamshi

semantiki

/sɛmantiki/