Ufafanuzi wa semekana katika Kiswahili

semekana

kitenzi sielekezi~ika

  • 1

    dai kuwa kitu fulani kimefanyika au kiko katika hali fulani pasi na ushahidi wa kutosha.

Matamshi

semekana

/sɛmɛkana/