Ufafanuzi wa semesta katika Kiswahili

semesta

nominoPlural semesta

  • 1

    kipindi cha masomo katika chuo kikuu au vyuo vya elimu ya juu, ambacho ni k.v. wiki 15–18.

Matamshi

semesta

/sɛmɛsta/