Ufafanuzi msingi wa semezana katika Kiswahili

: semezana1semezana2

semezana1

kitenzi sielekezi

 • 1

  zungumza na mtu mwingine.

 • 2

  kuwa na uhusiano mzuri na mtu mwingine.

Matamshi

semezana

/sɛmɛzana/

Ufafanuzi msingi wa semezana katika Kiswahili

: semezana1semezana2

semezana2

kitenzi sielekezi

 • 1

  zungumza na mtu mwingine.

 • 2

  kuwa na uhusiano mzuri na mtu mwingine.

Matamshi

semezana

/sɛmɛzana/