Ufafanuzi wa sena katika Kiswahili

sena

kivumishi

  • 1

    -zuri.

    ‘Hiki ni kitambaa sena’
    ‘Muwa sena’

Matamshi

sena

/sɛna/