Ufafanuzi wa senea katika Kiswahili

senea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~za

  • 1

    kosa makali.

    ‘Kisu kimesenea’

Matamshi

senea

/sɛnɛa/