Ufafanuzi wa seneta katika Kiswahili

seneta

nominoPlural maseneta

  • 1

    mwakilishi wa gatuzi, Kenya.

  • 2

    mbunge wa Bunge la Juu la Marekani.

  • 3

    mjumbe wa kikao cha seneti ya chuo kikuu.

Asili

Kng

Matamshi

seneta

/sɛnɛta/