Ufafanuzi wa seng’enge katika Kiswahili

seng’enge

nominoPlural seng’enge

  • 1

    waya wa shaba au chuma wenye mafundo ya miba mikali ambao hutumika kuzungushiwa k.v. kwenye nyua au maboma kuzuia watu au wanyama wasiingie.

Matamshi

seng’enge

/sɛŋɛngɛ/