Ufafanuzi wa sensa katika Kiswahili

sensa

nominoPlural sensa

  • 1

    hesabu ya watu, wanyama, n.k. katika eneo fulani ambayo hufanywa baada ya kila miaka fulani ili kufahamu idadi yao.

Asili

Kng

Matamshi

sensa

/sɛnsa/