Ufafanuzi wa sentafowadi katika Kiswahili

sentafowadi

nominoPlural sentafowadi

  • 1

    mchezaji wa mbele wa mchezo wa mpira wa miguu anayeshika nafasi ya katikati uwanjani.

Asili

Kng

Matamshi

sentafowadi

/sɛntafɔwadi/