Ufafanuzi wa sentensi katika Kiswahili

sentensi

nominoPlural sentensi

  • 1

    tungo inayojitosheleza ambayo kimsingi huhusisha tendo na mtendaji.

    fungu

Asili

Kng

Matamshi

sentensi

/sɛntɛnsi/