Ufafanuzi wa sentigramu katika Kiswahili

sentigramu

nomino

  • 1

    kipimo cha uzito kilicholingana na asilimia moja ya gramu.

Asili

Kng

Matamshi

sentigramu

/sɛntigramu/