Ufafanuzi wa setla katika Kiswahili

setla

nomino

  • 1

    mtu aliyehamia katika nchi isiyokuwa yake na kumiliki ardhi kubwa.

    mlowezi

Asili

Kng

Matamshi

setla

/sɛtla/