Ufafanuzi wa shabaha katika Kiswahili
shabaha
nominoPlural shabaha
- 1
kitu kilichowekwa ili kulengwa na kupigwa k.v. kwa mshale, bunduki au mkuki.
lengo, dango - 2
uwezo au uhodari wa kupiga kinacholengwa.
‘Huyu hana shabaha’ - 3
matarajio ya matokeo ya kitendo fulani.
‘Ulipofanya hili, shabaha yako ilikuwa ni nini?’makusudi
Asili
Kar