Ufafanuzi wa shabaki katika Kiswahili

shabaki

nomino

  • 1

    mtu mgomvi mwenye maneno ya ufidhuli.

    mgobo

Asili

Kar

Matamshi

shabaki

/∫abaki/