Ufafanuzi wa shada katika Kiswahili

shada

nominoPlural ma

  • 1

    mtungo wa maua wa kuvaliwa kwenye nywele, shingoni au kuwekwa sehemu fulani k.v. kwenye kaburi.

Matamshi

shada

/∫ada/