Ufafanuzi wa shafti katika Kiswahili

shafti

nominoPlural shafti

  • 1

    chuma kirefu kinachozungushwa na injini na hivyo kuzungusha magurudumu na kufanya gari liende.

Asili

Kng

Matamshi

shafti

/∫afti/