Ufafanuzi msingi wa shaka katika Kiswahili

: shaka1shaka2

shaka1

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na hakika ya jambo.

    wasiwasi, tuhuma, hatihati, tashwishi, wahaka

Asili

Kar

Ufafanuzi msingi wa shaka katika Kiswahili

: shaka1shaka2

shaka2

kitenzi elekezi

Matamshi

shaka

/∫aka/