Ufafanuzi wa shakiza katika Kiswahili

shakiza

kitenzi elekezi

  • 1

    ashiria au toa amri kuwapa watu au mbwa ili kumkamata au kumfukuza mtu au mnyama.

Matamshi

shakiza

/∫akiza/